Kwa pamoja tunaweza

Blog hii inazungumzia masuala mbalimbali hasa changamoto mbalimbali zainazomkuta mwanamke katika harakati za kimaendeleo katika nyanja mbalimbali: iwe katika elimu, ndoa, ujasiriamali, malezi na familia.



ili kuweza kukabiliana navyo, basi blogu hii inakukaribisha wewe kwa ajili ya mchango wa mawazo ili tu kumuwezesha mwanamke wa kitanzania kufikia mafanikio na kuweza kuwa na uchumi imara na endelevu.



Nakukaribisha sana wewe kuwa mdau nambari moja wa blogu hii




KWA PAMOJA TUNAWEZA

Tuesday, August 9, 2011

MAISHA NI FOLENI

MAISHA NI KAMA FOLEN AMBAYO INASOGEA POLEPOLE, HAIJALISHI MWENENDO WA FOLENI HIYO TUNACHOAMINI SIKU MOJA UTAFANIKIWA.
UNACHOTAKIWA KUFANYA:

1. USIYAKATIE TAMAA MAISHA  - ENDELEA
     KUJIWAZIA MAZURI /MEMA ILI KUWEZA KUFANIKISHA NDOTO ZAKO.
2.  JIKUBALI  -  KTK KILA JAMBO UNALOFANYA LAZIMA UJIKUBALI WEWE
      KWANZA KUW A UNZAWEZA KISHA WENGINE NDIO WAFUATE  
      KUKUBALI, IWE KIKAZI, KIBIASHARA HATA KIJAMII JIKUBALI
      MWENYEWE.
3.  MATATIZO YAFANYE KUWA NI CHANGAMOTO ILI KUWEZA KUTIMIZA AZMA YA NDOTO ULIZONAZO MATATIZO YASIKURUDISHE NYUMA, MBELE YA MATUNDA MAZURI , KUFANIKIWA UNATAKIWA KULIPOKEA KILA JAMBO BAYA LIKUTOKEALO KAMA DARASA LA KUJIFUNZA ILI UWEZE KUFANIKIWA.

NAWAPENDA WOTE DEARZ

No comments:

Post a Comment