Baada ya pilika za wiki nzima, imefika wakati wa kupumzika na kufurahi pamoja na familia yako
Tafakari yangu leo ni:
tunapoelekea robo 3 mwaka hebu tafakari kuwa ni malengo mangapi mpaka sasa uliyokuwa umejiwekea kwa mwaka huu yameshatimia? na ni mangapi hayajatimia? na ni kwanini? je unaweza kuyatimiza kwa muda huu uliobakia kabla ya kumaliza mwaka.
BADO HUJACHELEWA UKIAMUA UTAFANIKIWA, ANZA SASA.
No comments:
Post a Comment