Kwa pamoja tunaweza

Blog hii inazungumzia masuala mbalimbali hasa changamoto mbalimbali zainazomkuta mwanamke katika harakati za kimaendeleo katika nyanja mbalimbali: iwe katika elimu, ndoa, ujasiriamali, malezi na familia.



ili kuweza kukabiliana navyo, basi blogu hii inakukaribisha wewe kwa ajili ya mchango wa mawazo ili tu kumuwezesha mwanamke wa kitanzania kufikia mafanikio na kuweza kuwa na uchumi imara na endelevu.



Nakukaribisha sana wewe kuwa mdau nambari moja wa blogu hii




KWA PAMOJA TUNAWEZA

Thursday, July 21, 2011

EBENEZER HEWANI TENA

BAADA YA PILIKA PILIKA ZA HAPA NA PALE EBENEZER IMERUDI TENA HEWANI

WADAU WANGU KARIBUNI SANA