Kwa pamoja tunaweza

Blog hii inazungumzia masuala mbalimbali hasa changamoto mbalimbali zainazomkuta mwanamke katika harakati za kimaendeleo katika nyanja mbalimbali: iwe katika elimu, ndoa, ujasiriamali, malezi na familia.



ili kuweza kukabiliana navyo, basi blogu hii inakukaribisha wewe kwa ajili ya mchango wa mawazo ili tu kumuwezesha mwanamke wa kitanzania kufikia mafanikio na kuweza kuwa na uchumi imara na endelevu.



Nakukaribisha sana wewe kuwa mdau nambari moja wa blogu hii




KWA PAMOJA TUNAWEZA

Monday, March 12, 2012

KAZI YA UPAMBAJI KWA SHEREHE MBALIMBALI

MOJA YA KAZI YA MIKONO TUIFANYAYO KAMA EBENEZER ENTERTAINMENT LTD
TUNAPAMBA KWA SHEREHE MBALIMBALI, TUNAPIKA VYAKULA PIA TUNATOA HUDUMA YA U MC KWA SHEREHE ZOTE.

KWA MAWASILIANO ZAIDI: 0655 035 945

Friday, September 23, 2011

Mamaa Ebenezer: WIKEND NJEMA

Mamaa Ebenezer: WIKEND NJEMA: Baada ya pilika za wiki nzima, imefika wakati wa kupumzika na kufurahi pamoja na familia yako Tafakari yangu leo ni: tunapoelekea robo 3 mwa...

Mamaa Ebenezer: WIKEND NJEMA

Mamaa Ebenezer: WIKEND NJEMA: Baada ya pilika za wiki nzima, imefika wakati wa kupumzika na kufurahi pamoja na familia yako Tafakari yangu leo ni: tunapoelekea robo 3 mwa...

WIKEND NJEMA

Baada ya pilika za wiki nzima, imefika wakati wa kupumzika na kufurahi pamoja na familia yako
Tafakari yangu leo ni:
tunapoelekea robo 3 mwaka hebu tafakari kuwa ni malengo mangapi mpaka sasa uliyokuwa umejiwekea kwa mwaka huu yameshatimia? na ni mangapi hayajatimia? na ni kwanini? je unaweza kuyatimiza kwa muda huu uliobakia kabla ya kumaliza mwaka.

BADO HUJACHELEWA UKIAMUA UTAFANIKIWA, ANZA SASA.


Mamaa Ebenezer: TUMIA UMEME MBADALA

Mamaa Ebenezer: TUMIA UMEME MBADALA

TUMIA UMEME MBADALA

Kama mnavyojua kwa sasa nchi yetu ina matatizo ya Mgao wa Umeme usiokwisha kila kukicha, Majenereta nayo yanapiga kelele, gharama kuyaendesha kwani yanatumia Mafuta ambayo nayo huadimika kila mara.

Sasa kuna zao jipya kutoka kwa Wazawa wa hapa hapa, Vijana wa kitanzania waliobobea katika masuala mazima na teknolojia ya kusuka Inventer (backup system) yenye uwezo wa kuendesha vifaa vya maofisini, majumbani bila tatizo, inayohimili kwa muda wa masaa 10 -12. 

Huo ndo Mtambo wenyewe (hapo juu ndo Inventer, hapo Kati ni betri original za USA zinazotunza Umeme @betri ina uzito wa Kg 50)

Ni ya kudumu na kudumu na kudumu na kudumu (si chini ya miaka 15)

Watakusukia na kukuwekea kwa gharama nafuu sana.

Wasiliana nao sasa kwa namba hapo chini

+255 (0) 714 537 085
+255 (0) 765 673 575

Tatizo la kukosa umeme sasa basi maana jibu la maswali yako limepatikana sasa, wasiliana nao sasa.

KARIBU

Sunday, September 18, 2011

Wanawake & Maendeleo: NDOA

Wanawake & Maendeleo: NDOA: Ndoa ni nini? Ndoa ni Taasisi ambayo Mungu aliianzisha kwa kusudi zima la kuweza kumfanya mwanadamu aishi kwa furaha duniani, ndo maana ali...