Kwa pamoja tunaweza

Blog hii inazungumzia masuala mbalimbali hasa changamoto mbalimbali zainazomkuta mwanamke katika harakati za kimaendeleo katika nyanja mbalimbali: iwe katika elimu, ndoa, ujasiriamali, malezi na familia.



ili kuweza kukabiliana navyo, basi blogu hii inakukaribisha wewe kwa ajili ya mchango wa mawazo ili tu kumuwezesha mwanamke wa kitanzania kufikia mafanikio na kuweza kuwa na uchumi imara na endelevu.



Nakukaribisha sana wewe kuwa mdau nambari moja wa blogu hii




KWA PAMOJA TUNAWEZA

Friday, July 8, 2011

WATU NA MATUKIO

NAWAKARIBISHA WOOOOOTE NDANI YA BLOG HII KWA AJILI YA KULETA MATANGAZO YA BIASHARA, SHULE, NASI TUTAYARUSHA BURE KABISA.

PIA

TUNAWAKARIBISHA KWA KULETA MATUKIO YENU MF: PICHA ZA HARUSI, SEND OFF, K.PARTY, BAG PARTY, KIPAIMARA NA MSIBA PIA TUTAZIRUSHA BILA HIANA.

KAMA UNA MKASA, UNAHITAJI USHAURI BASI BLOG HII INAKUKARIBISHA KUPOST KISA AU MKASA ULIOKUKUMBA NASI TUTAKUSHAURI....KARIBUNI SANA WADAU, BLOG YENU HII.

No comments:

Post a Comment