Wanawake & Maendeleo: MAISHA NI FOLENI: MAISHA NI KAMA FOLEN AMBAYO INASOGEA POLEPOLE, HAIJALISHI MWENENDO WA FOLENI HIYO TUNACHOAMINI SIKU MOJA UTAFANIKIWA. UNACHOTAKIWA KUFANYA: ...
Nakukaribisha sana katika Blog hii inakuhusisha wewe kushiriki nasi katika masuala mbalimbali yahusuyo Jamii, Mwanamke, Uchumi, na matukio mbalimbali yatokeayo katika Jamii yetu. Pia mada zitakazotolewa hapa, changia kila mada ili tuweze kusonga mbele kwa maoni na ushauri wako. Kwa Pamoja Tunaweza
Kwa pamoja tunaweza
Blog hii inazungumzia masuala mbalimbali hasa changamoto mbalimbali zainazomkuta mwanamke katika harakati za kimaendeleo katika nyanja mbalimbali: iwe katika elimu, ndoa, ujasiriamali, malezi na familia.
ili kuweza kukabiliana navyo, basi blogu hii inakukaribisha wewe kwa ajili ya mchango wa mawazo ili tu kumuwezesha mwanamke wa kitanzania kufikia mafanikio na kuweza kuwa na uchumi imara na endelevu.
Nakukaribisha sana wewe kuwa mdau nambari moja wa blogu hii
ili kuweza kukabiliana navyo, basi blogu hii inakukaribisha wewe kwa ajili ya mchango wa mawazo ili tu kumuwezesha mwanamke wa kitanzania kufikia mafanikio na kuweza kuwa na uchumi imara na endelevu.
Nakukaribisha sana wewe kuwa mdau nambari moja wa blogu hii
KWA PAMOJA TUNAWEZA
Tuesday, August 30, 2011
WANAWAKE NA UCHUMI IMARA
Wanawake tuamke jamani katika kushika fursa mbalimbali ili kuweza kujipatia maendeleo, kuna msemo ambao unasemwa sana kuwa ukimwelimisha mwanamke umeelimisha jamii nzima.
Acha kubweteka mwanamke, amua leo ili kujenga msingi imara (wa uchumi) kwa ajili ya familia yako, kwanini? kwasababu kumekuwa na vilio vingi sana kwa wanawake ambao walichuma mali pamoja na waume zao kisha mwanaume anapoitelekeza familia na kuiacha mama hubaki na manung'uniko moyoni hasa mzigo wa kulea familia.
Kinachotakiwa sasa kwako mwanamke:
Anza kujijengea uwezo, fursa ya kumiliki mali yako mwenyewe.
Namaanisha nini:
katika biblia (maandiko matakatifu) Mungu anamfananisha mwanamke na merikebu ya biashara soma Mithali 31:10 - 31 (Nanukuu ule mstari wa 13 " Hutafuta sufu na kitani, hufanya kazi yake ya mikono kwa moyo, afanana na merikebu ya biashara, huleta chakua chake kutoka mbali. tena huamka kabla haujaisha usiku, huwapa watu wa nyumbani mwake chakula na wajakazi wake sehemu zao)
kumbe sie mambo haya yote tunaweza kuyafanya kwa kujenga msingi imara ya uchumi ulio endelevu, nini faida ya kuwa na uchumi endelevu kwa mwanamke
1. Moyo wa mumewe humwamini, wala hatakosa kupata mapato
2. Nguvu na Hadhi ndiyo mavazi yake (maana yake ni kuwa siku zote huwa hodari, na moyo wa
ushujaa haogopi tatizo yeye hulikabili) anaucheka wakati ujao.
3. Mumewe hujulikana malangoni pa wazee:
maana yake: kila jambo utakalolifanya kwa ajili ya maendeleo ya familia yako, sifa nyingi
zitarudi kwa mume wako aliyekuoa ya kwamba amepata mke mwema. tena atajisifu kuwa
binti za watu wengi wamefanya mema lakini wewe umewapita wote
cha kufanya:
- jikubali kuwa unaweza, jipende mwenyewe
- Weka malengo yako ya muda mfupi na mrefu, kisha yaweke katika matendo
- yaamini mawazo yako kuwa yatakufikisha mahala unapopataka
- thubutu kufanya kitu cha maendeleo hata kama ni kuanzisha mradi kwa mtaji mdogo,
acha kuwa tegemezi, amka sasa mwanamke
KUMBUKA:
KINA MAMA TU JESHI KUBWA, TUNAWEZA
MAPUMZIKO MEMA YA EID
All Dearz, niwatakie siku njema ya leo, pia sikukuu njema
UJUMBE WANGU KWENU:
- Chonde chonde kwa wenye watoto kuweni waangalifu sana
- pia msinywe pombe kupita kiasi maana ulevi ni nouma
siku ya leo iwe ya Ibada na Dua, pia mkitenda matendo mema kwa kuwakumbuka wasio jiweza kwa kuwatembelea wagonjwa mahospitalini, yatima, wajane, wahitaji kwa kufanya hivyo mtakuwa mnatimiza maandiko matakatifu na siku yenu itakuwa ni njema.
MBARIKIWE
Tuesday, August 9, 2011
MAISHA NI FOLENI
MAISHA NI KAMA FOLEN AMBAYO INASOGEA POLEPOLE, HAIJALISHI MWENENDO WA FOLENI HIYO TUNACHOAMINI SIKU MOJA UTAFANIKIWA.
UNACHOTAKIWA KUFANYA:
1. USIYAKATIE TAMAA MAISHA - ENDELEA
KUJIWAZIA MAZURI /MEMA ILI KUWEZA KUFANIKISHA NDOTO ZAKO.
2. JIKUBALI - KTK KILA JAMBO UNALOFANYA LAZIMA UJIKUBALI WEWE
KWANZA KUW A UNZAWEZA KISHA WENGINE NDIO WAFUATE
KUKUBALI, IWE KIKAZI, KIBIASHARA HATA KIJAMII JIKUBALI
MWENYEWE.
3. MATATIZO YAFANYE KUWA NI CHANGAMOTO ILI KUWEZA KUTIMIZA AZMA YA NDOTO ULIZONAZO MATATIZO YASIKURUDISHE NYUMA, MBELE YA MATUNDA MAZURI , KUFANIKIWA UNATAKIWA KULIPOKEA KILA JAMBO BAYA LIKUTOKEALO KAMA DARASA LA KUJIFUNZA ILI UWEZE KUFANIKIWA.
NAWAPENDA WOTE DEARZ
Thursday, July 21, 2011
Friday, July 8, 2011
WATU NA MATUKIO
NAWAKARIBISHA WOOOOOTE NDANI YA BLOG HII KWA AJILI YA KULETA MATANGAZO YA BIASHARA, SHULE, NASI TUTAYARUSHA BURE KABISA.
PIA
TUNAWAKARIBISHA KWA KULETA MATUKIO YENU MF: PICHA ZA HARUSI, SEND OFF, K.PARTY, BAG PARTY, KIPAIMARA NA MSIBA PIA TUTAZIRUSHA BILA HIANA.
KAMA UNA MKASA, UNAHITAJI USHAURI BASI BLOG HII INAKUKARIBISHA KUPOST KISA AU MKASA ULIOKUKUMBA NASI TUTAKUSHAURI....KARIBUNI SANA WADAU, BLOG YENU HII.
PIA
TUNAWAKARIBISHA KWA KULETA MATUKIO YENU MF: PICHA ZA HARUSI, SEND OFF, K.PARTY, BAG PARTY, KIPAIMARA NA MSIBA PIA TUTAZIRUSHA BILA HIANA.
KAMA UNA MKASA, UNAHITAJI USHAURI BASI BLOG HII INAKUKARIBISHA KUPOST KISA AU MKASA ULIOKUKUMBA NASI TUTAKUSHAURI....KARIBUNI SANA WADAU, BLOG YENU HII.
Wednesday, June 8, 2011
MWINZAJE
WADAU KARIBUNI KTK BLOGU HII MPYA AMBAYO ITAKUWA INAZUNGUMZIA MAMBO MBALI MBALI YAHUSUYO JAMII, HARAKATI ZA WANAWAKE NA MAENDELEO MBALIMBALI.
SHUGHULI ZA JAMII KAMA VILE HARUSI, SENDOFF, MISIBA, K.PAT N,K
LETA PICHA ZA MATUKIO YAKO NASI TUTAZIRUSHA LIVE .....
MJASIRIAMALI NI WAKATI WAKO SASA WA KUJITANGAZA BURE KABISA KUPITIA BLOGU HII WASILIANA NASI KWA NAMBA HII: 0655 035 945
USIBIP, TAFADHALI TUPIGIE
SHUGHULI ZA JAMII KAMA VILE HARUSI, SENDOFF, MISIBA, K.PAT N,K
LETA PICHA ZA MATUKIO YAKO NASI TUTAZIRUSHA LIVE .....
MJASIRIAMALI NI WAKATI WAKO SASA WA KUJITANGAZA BURE KABISA KUPITIA BLOGU HII WASILIANA NASI KWA NAMBA HII: 0655 035 945
USIBIP, TAFADHALI TUPIGIE
Subscribe to:
Posts (Atom)